Idara ya Fedha, Utawala na Utumishi katika Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam inasimamia masuala yote yanayohusiana na Fedha, Utawala na Utumishi katika utekelezaji wa majukumu ya Halmashauri. Idara ina sehemu ya Utawala, Utumishi na Fedha, sehemu hizo zinasimamia Ofisi za Utawala na Utumishi, Karimjee, Mikutano, Masjala ya wazi na siri, Malalamiko na Uchapishaji. Sehemu ya Fedha inasimamia Ofisi za Mapato, Matumizi, Mishahara na Sehemu ya Ufungaji wa Mahesabu.
Sehemu ya Utawala na Utumishi ina majukumu yafuatayo :-
1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM
Anuani ya Posta: S.L.P 20950
Simu ya mezani: 2128800
Namba ya Mkononi:
Barua Pepe: info@dcc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.