Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam inatoa huduma ya taarifa za historia ya viwanja ambavyo majalada yake yako Halmashauri ya Jiji kwa Manispaa za Dar es Salaam na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi pindi waletapo barua za maombi.
1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM
Anuani ya Posta: S.L.P 20950
Simu ya mezani: 0738 378 386
Namba ya Mkononi: 0738 378 386
Barua Pepe: info@dcc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.