Idara ya Mipangomiji, Mazingira na Usafirishaji inatekeleza majukumu yake kwa kuzingatia Dira na Dhamira ya Halmashauri ya Jiji. Katika kutekeleza hayo, Idara ina jukumu kubwa la kupanga, kutekeleza na kusimamia maendeleo ya Makazi Jijini.
1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM
Anuani ya Posta: S.L.P 20950
Simu ya mezani: 2128800
Namba ya Mkononi:
Barua Pepe: info@dcc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.