Kitengo cha Ugavi ni moja wapo ya Vitengo vilivyo chini ya Ofisi ya Mkurugenzi katika Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam.
Kitengo hiki kazi yake kubwa ni kutoa huduma ya ushauri kwa Afisa Masuuli kuhusu taratibu sahihi na zinazokubalika za usimamizi wa masuala ya fedha. Kitengo hiki kinaongozwa na Mkaguzi wa Ndani ambaye anawajibika kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam.
1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM
Anuani ya Posta: S.L.P 9084
Simu ya mezani: +255 22 2123346
Namba ya Mkononi: 0715046974
Barua Pepe: cd@dcc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.