JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

JIJI LA DAR ES SALAAM

Karibu Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam

Karibu kwenye tovuti rasmi ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, ambapo utapata taarifa mbalimbali kuhusu majukumu ya Halmashauri ya Jiji katika kuratibu na kusimamia madaraka na majukumu ya Mamlaka zote za Serikali za Mitaa zilizopo Dar es Salaam katika masuala yanayohusu miundombinu, matumizi ya ardhi, afya, udhibiti na uzuiaji wa moto.

Tunaamini kwa kushirikiana na wadau katika maeneo tofauti tofauti ili kuweza kuleta maendeleo endelevu kwa wananchi wa Jiji la Dar es Salaam. Kwa kulitambua jambo hilo Halmashauri ya Jiji la Dar es Sala... Soma Zaidi →

HABARI MPYA

News Thumb here

Ibada ya kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam

Ibada ya kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar es SalaamSoma Zaidi →

Posted 2 months ago
News Thumb here

Mkutano wa kwanza wa Baraza la Halmashauri ya Jiji

Mkutano wa kwanza wa Baraza la Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam umefanyika leo tarehe 21 Aprili, 2016 Soma Zaidi →

Posted 3 months ago
News Thumb here

Kuapishwa kwa Meya wa Jiji la Dar es Salaam

Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Mstahiki Meya Isaya Mwita Charles ameapishwa leo tarehe 30 Machi, 2016 Soma Zaidi →

Posted 3 months ago

Habari Nyingine →

MATUKIO YA KARIBUNI

Tangazo la nafasi za kazi

Tarehe: 01 June, 2016 Mpaka 19 June, 2016

Mahali: City Hall

Muda: 08:00 - 15:30

Maelezo Ya Tukio:
Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam anawatangazia wananchi wote wenye sifa za kuajiriwa kuleta maombi yao ya kazi kwa nafasi zifuatazo:Soma Zaidi →

Kuwasilisha Taarifa kwa ajili ya malipo kwa mfumo wa TISS

Tarehe: 31 March, 2016 Mpaka 30 April, 2016

Mahali: City Hall

Muda: 08:00 - 15:00

Maelezo Ya Tukio:
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam anapenda kuwajulisha wadau wote kwamba kuanzia mwezi Aprili, 2016 Soma Zaidi →

Ulipaji wa Huduma za Jiji

Tarehe: 18 March, 2016 Mpaka 05 April, 2016

Mahali: City Hall

Muda: 08:00 - 15:30

Maelezo Ya Tukio:
Kwa mujibu wa sheria ya fedha ya Serikali za Mitaa ya mwaka 1982 na kwa mujibu wa sheria ndogo za “Ushuru wa Huduma” za Jiji, 1997 mabe...Soma Zaidi →

Matukio Zaidi →