Tarehe iliyowekwa: June 2nd, 2023
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam leo tarehe 2 Juni, 2023 imesaini Mikataba ya Ujenzi wa Barabara ikiwa ni utekelezaji wa maagizo ya Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kuzitaka kila Halmashaur...
Tarehe iliyowekwa: June 2nd, 2023
Kampuni ya Bima ya Jubilee, leo tarehe 02 Juni, 2023 wamemkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Mhe. Edward Mpogolo Madawati 45 kwa ajili ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Kisutu.
Makabidhiano hayo yaliyoyafanyi...
Tarehe iliyowekwa: May 30th, 2023
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe.Albert Chalamila leo tarehe 30 Mei, 2023 amefanya kikao maalum na Viongozi pamoja na Watumishi wa ngazi ya Wilaya na Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kwa lengo la...