Tarehe iliyowekwa: September 2nd, 2023
Wafadhili kutoka Ismail Civic leo tarehe 2 Septemba, 2023 wamemkabidhi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam matundu 51 ya vyoo katika Shule ya Msingi Umoja wa Mataifa pamoja na Shule ya ...
Tarehe iliyowekwa: August 31st, 2023
Maafisa Lishe kutoka Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam wameendelea kutoa elimu na kuhamasisha wananchi juu ya matumizi sahihi na mpangilio bora wa vyakula ili kuimarisha afya na kuepuka magonjwa ya...
Tarehe iliyowekwa: August 31st, 2023
Baraza la Madiwani Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, leo tarehe 31 Agosti, 2023 limefanya kikao chake cha kawaida cha kupitisha na kujadili taarifa ya utendaji kazi kwa kipindi cha robo ya nne ya ...