Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam inashiriki katika Maonesho ya 25 ya Wajasiriamali Wadogo na wa kati wa Jumuiya ya Afrika Mashariki maarufu Nguvu Kazi/ Jua Kali.
Kaulimbiu: “Miaka 25 ya Ujumuishaji wa Jumuiya ya Afrika Mashariki:Kuendeleza Ubunifu na Minyororo ya Thamani ya Kikanda kwa Biashara ndogo na za Kati Shindani kuelekea Maendeleo Endelevu”.
1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM
Anuani ya Posta: S.L.P 20950
Simu ya mezani: 0738 378 386
Namba ya Mkononi: 0738 378 386
Barua Pepe: info@dcc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.