Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam katika kuendeleza na kuimarisha elimu ya Sekondari Jijini imejenga Shule ya Sekondari ya Benjamin William Mkapa na kukasimu uendeshaji kwa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala.
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam pia inaendelea kutekeleza jukumu la kuboresha miundombinu ya huduma mbalimbali katika Shule ya Sekondari ya Benjamin William Mkapa ambapo katika mwaka wa fedha 2018/2019 imefanya ujenzi wa madarasa saba (7), ujenzi wa vyoo vyenye matundu 9, ujenzi wa ofisi ya walimu, pamoja na ukarabati wa mfumo wa umeme.
Bonyeza hapa kutembelea tovuti ya Shule ya Sekondari Benjamin William Mkapa.
1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM
Anuani ya Posta: S.L.P 20950
Simu ya mezani: 2128800
Namba ya Mkononi:
Barua Pepe: info@dcc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.