Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ina mipango ya kujenga jengo la kibiashara kwa lengo la kupangisha wafanyabiashara mbalimbali. Jengo litakuwa na ukubwa wa ghorofa nne. Mradi huu utagharimu jumla ya Tsh.1.4 Bilioni. Mradi unatarajia kuiingizia Halmashauri kiasi cha Tsh. 460 milioni kwa mwaka.
1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM
Anuani ya Posta: S.L.P 20950
Simu ya mezani: 0738 378 386
Namba ya Mkononi: 0738 378 386
Barua Pepe: info@dcc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.