Halmashauri ya Jiji inatekeleza mradi wa ujenzi wa nyumba za makazi za kupangisha kwa ubia na mwekezaji katika Kiwanja Na: 288 kilichopo katika eneo la Toure Drive jijini Dar es Salaam. Mradi umekamilika na umeanza kuingiza mapato kwa Halmashauri ya Jiji.
1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM
Anuani ya Posta: S.L.P 20950
Simu ya mezani: 2128800
Namba ya Mkononi:
Barua Pepe: info@dcc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.