• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Jiji
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha, Utawala na Utumishi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Udhibiti Taka
      • Mipangomiji, Mazingira na Usafirishaji
      • Afya na Huduma za Tiba
    • Vitengo
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Sheria na Usalama
      • Itifaki, Uhusiano na Umma
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Shughuli za Utalii
      • Dar es Salaam Yetu
      • Misitu na Mashamba ya wanyama wafugwao
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
      • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
      • Maeneo ya kupumzika, bustani na viwanja vya michezo
      • Maeneo ya Manunuzi
      • Majengo na maeneo ya kihistoria
      • Uwanda wa bahari, fukwe na visiwa
    • Urejelezaji wa Taka Ngumu
  • Huduma Zetu
    • Vibali vya Pikipiki
    • Vibali vya Maegesho ya Teksi
    • Vibali vya Kuingiza Magari ya Mizigo
    • Vituo Vikuu vya Mabasi
    • Udhibiti Taka Ngumu
    • Taarifa za Historia ya Viwanja
    • Mazishi ya miili ya marehemu wasiokuwa na ndugu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipangomiji, Mazingira na Miundombinu
      • Kamati ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
    • Mameya Wazamani wa Jiji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi Inayoendelea
    • Vitega Uchumi vya Jiji
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Sera
    • Miongozo
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu za Maombi
    • Fomu za Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari Mpya
    • Matukio

TASAF yatoa mafunzo ya kuwajengea uwezo Maafisa Ugani Jiji la Dar es Salaam

Tarehe iliyowekwa: June 14th, 2022

Maafisa Ugani kutoka Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam leo tarehe 14 Juni, 2022 wameanza kupatiwa mafunzo kupitia warsha iliyoandaliwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii - TASAF. Mafunzo hayo yannatolewa kwa lengo la kuwajengea uwezo wa utendaji kazi maafisa hao ili waweze kusimamia na kutekeleza majukumu yao ya kunusuru kaya masikini kwa ufanisi.

Katika mafunzo hayo yanayofanyika katika ukumbi wa mikutano DMDP uliopo Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam, Afisa Mafunzo wa TASAF, Catherine Kisanga, amesema kuwa lengo kubwa la warsha za jamii ni kuwajengea walengwa uwezo wa kuelewa taratibu za TASAF za kunusuru kaya masikini, kutambua majukumu yao na kutambua mpango huo unahitaji nini, hivyo kupunguza malalamiko yaliyokuwa yakitokea kwa wanufaika wa mpango huo.

“Kupitia mafunzo haya, maafisa hawa wataweza kuendesha warsha za jamii kwa tija zaidi na kuweza kufikia malengo yaliyokusudiwa na mpango huu kwa urahisi. Vilevile walengwa wa mpango huu wataelewa kwa urahisi wajibu na majukumu yao hivyo kupunguza malalamiko mengi yaliyokuwa yakitokea kwao”, amesema Kisanga.

Aidha, Mratibu wa TASAF kutoka Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Marcella Msawanga, amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kwa kuona bado kuna haja ya kuendelea kutekeleza mpango wa kunusuru kaya masikini kwa lengo la kupunguza umasikini kwa Watanzania.

Msawanga ameongeza kuwa kutokana na mafunzo hayo, Jiji la Dar es Salaam linatarajia wanufaika wa mafunzo hayo yanayotarajiwa kuisha tarehe 16 Juni 2022 watakwenda kubadilisha taswira nzima ya uelewa wa walengwa wa TASAF kuhusu kunusuru kaya masikini.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE KAZI YA SENSA 2022 July 27, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA July 19, 2022
  • TANGAZO DHIDI YA UTAPELI WA AJIRA July 20, 2022
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA SENSA 2022, WILAYA YA ILALA July 19, 2022
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Walimu Wakuu Jiji la DSM waitembelea timu ya UMITASHUMTA Mkoa wa DSM

    August 05, 2022
  • Waziri Mkuu Majaliwa afungua mashindano ya Kitaifa ya UMITASHUMTA na UMISSETA 2022 Tabora

    August 04, 2022
  • WAZIRI MKUU MSTAAFU ARIDHISHWA NA BANDA LA JIJI YA DAR ES SALAAM KATIKA MAONESHO YA NANENANE 2022

    August 04, 2022
  • JIJI LAWEZESHA WAKULIMA,WAFUGAJI NA WAVUVI KUPITIA 10% YA MAPATO YA NDANI

    August 03, 2022
  • Angalia zote

Video

NAPA
Video Zingine

Viunganishi vya Haraka

  • Mameya wa zamani wa Jiji
  • Vibali vya kuingia na Pikipiki katikati ya Jiji
  • Udhibiti wa Taka ngumu Jijini
  • Eneo Maalum la Usafi Jijini
  • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
  • Uwanda wa Bahari, Fukwe na Visiwa
  • Sehemu za Kitamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
  • Majengo na Maeneo ya Kihistoria
  • Maeneo ya Kupumzika, Bustani na Viwanja vya Michezo

Viunganishi Linganifu

  • BUNGE
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • TAMISEMI
  • TAKWIMU HURIA
  • TOVUTI KUU YA WANANCHI

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Anuani ya Posta: S.L.P 20950

    Simu ya mezani: 2128800

    Namba ya Mkononi: 0713614364

    Barua Pepe: info@dcc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.