• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Jiji
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha, Utawala na Utumishi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Udhibiti Taka
      • Mipangomiji, Mazingira na Usafirishaji
      • Afya na Huduma za Tiba
    • Vitengo
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Sheria na Usalama
      • Itifaki, Uhusiano na Umma
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Shughuli za Utalii
      • Dar es Salaam Yetu
      • Misitu na Mashamba ya wanyama wafugwao
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
      • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
      • Maeneo ya kupumzika, bustani na viwanja vya michezo
      • Maeneo ya Manunuzi
      • Majengo na maeneo ya kihistoria
      • Uwanda wa bahari, fukwe na visiwa
    • Urejelezaji wa Taka Ngumu
  • Huduma Zetu
    • Vibali vya Pikipiki
    • Vibali vya Maegesho ya Teksi
    • Vibali vya Kuingiza Magari ya Mizigo
    • Vituo Vikuu vya Mabasi
    • Udhibiti Taka Ngumu
    • Taarifa za Historia ya Viwanja
    • Mazishi ya miili ya marehemu wasiokuwa na ndugu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipangomiji, Mazingira na Miundombinu
      • Kamati ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
    • Mameya Wazamani wa Jiji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi Inayoendelea
    • Vitega Uchumi vya Jiji
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Sera
    • Miongozo
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu za Maombi
    • Fomu za Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari Mpya
    • Matukio

Halmashauri ya Jiji la DSM "yaishushia kipigo" Halmashauri ya Mji Handeni

Tarehe iliyowekwa: August 16th, 2025

Na: Shalua Mpanda - Tanga

Timu ya mpira wa miguu kutoka Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imeibuka na ushindi wa bao 2-1 dhidi ya timu ya Halmashauri ya Mji Handeni Handeni katika mchezo uliozikutanisha timu hizo katika uwanja wa shule ya Sekondari Galanos mkoani Tanga katika mashindano ya SHIMISEMITA.

Alikuwa ni mchezaji wa Timu ya Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam Ernest Tyson aliyepeleka kilio upande wa Handeni mara baada ya kufunga mabao yote mawili dakika ya 23 kipindi cha kwanza na dakika ya 58 ya kipindi cha pili.

Mchezo huo uliokuwa  wa kasi na ushindani kwa dakika zote 90 ulianza kwa timu ya Jiji la Dar es salaam kupata goli na goli hilo kudumu hadi dakika 45 za kipindi cha kwanza.

Kipindi cha pili kilianza kwa kasi na Handeni kufanikiwa kusawazisha goli hilo amabalo halikudumu kwa muda mrefu kabla Tyson kupachika goli la pili ambalo lilidumu mpaka filimbi ya mwisho ya mwamuzi.

Sasa timu ya Jiji inasubiria ratiba inayofuata kufahamu itakutana na timu kutoka halmashauri ipi katika mashindano hayo yaliyoanza rasmi leo Agosti 15 hadi 29 mwaka huu ambapo jumla ya halmashauri 187 zinashiriki.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA (ACSEE) 2025 July 08, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA February 28, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Dar City yatoshana nguvu na Kibondo DC

    August 17, 2025
  • Halmashauri ya Jiji la DSM yaendelea kutoa vichapo mashindano ya SHIMISEMITA Tanga

    August 17, 2025
  • Jiji la DSM laiduwaza Monduli mchezo wa Volleyball

    August 16, 2025
  • Halmashauri ya Jiji la DSM "yaishushia kipigo" Halmashauri ya Mji Handeni

    August 16, 2025
  • Angalia zote

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
Video Zingine

Viunganishi vya Haraka

  • Mameya wa zamani wa Jiji
  • Vibali vya kuingia na Pikipiki katikati ya Jiji
  • Udhibiti wa Taka ngumu Jijini
  • Eneo Maalum la Usafi Jijini
  • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
  • Uwanda wa Bahari, Fukwe na Visiwa
  • Sehemu za Kitamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
  • Majengo na Maeneo ya Kihistoria
  • Maeneo ya Kupumzika, Bustani na Viwanja vya Michezo

Viunganishi Linganifu

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • TAMISEMI
  • IDARA YA HABARI MAELEZO

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Anuani ya Posta: S.L.P 20950

    Simu ya mezani: 0738 378 386

    Namba ya Mkononi: 0738 378 386

    Barua Pepe: info@dcc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.