Ili kuweza kununua kadi ya usafiri wa Mabasi Yaendayo Haraka na kunufaika na huduma ya usafiri ndani ya Jiji la Dar es Salaam tembelea vituo vya kukatia tiketi na ujipatie tiketi yako. Kwa maelezo zaidi wasiliana na Wakala ya Mabasi Yaendayo Haraka kupitia namba: 255-22-2461093, 2461094, 2461096
1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM
Anuani ya Posta: S.L.P 20950
Simu ya mezani: 0738 378 386
Namba ya Mkononi: 0738 378 386
Barua Pepe: info@dcc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.