• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Jiji
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha, Utawala na Utumishi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Udhibiti Taka
      • Mipangomiji, Mazingira na Usafirishaji
      • Afya na Huduma za Tiba
    • Vitengo
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Sheria na Usalama
      • Itifaki, Uhusiano na Umma
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Shughuli za Utalii
      • Dar es Salaam Yetu
      • Misitu na Mashamba ya wanyama wafugwao
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
      • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
      • Maeneo ya kupumzika, bustani na viwanja vya michezo
      • Maeneo ya Manunuzi
      • Majengo na maeneo ya kihistoria
      • Uwanda wa bahari, fukwe na visiwa
    • Urejelezaji wa Taka Ngumu
  • Huduma Zetu
    • Vibali vya Pikipiki
    • Vibali vya Maegesho ya Teksi
    • Maegesho ya Magari
    • Vituo Vikuu vya Mabasi
    • Udhibiti Taka Ngumu
    • Taarifa za Historia ya Viwanja
    • Mazishi ya miili ya marehemu wasiokuwa na ndugu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipangomiji, Mazingira na Miundombinu
      • Kamati ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
    • Mameya Wazamani wa Jiji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi Inayoendelea
    • Vitega Uchumi vya Jiji
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Sera
    • Miongozo
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu za Maombi
    • Fomu za Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari Mpya
    • Matukio

Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma

Wednesday 11th, December 2019
@Kituo Kikuu cha Mabasi Ubungo na Karakana Mwananyamala

Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam inapenda kuwajulisha wananchi kwamba kuanzia tarehe 16-23 Juni, mwaka huu, Jiji la Dar es Salaam linaadhimisha Wiki ya Utumishi wa Umma inayofanyika nchini kote. Maadhimisho hayo yanaratibiwa na Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora yakiwa na Kauli mbiu: "Uhusiano kati ya uwezeshaji wa vijana na usimamizi wa masuala ya uhamiaji: Kujenga utamaduni wa Utawala Bora, matumizi ya TEHAMA na ubunifu katika utoaji wa Huduma Jumuishi."

Katika maadhimisho hayo, Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam inawakaribisha wananchi katika maonesho ya wajasiriamali katika Viwanda Vidogo Vidogo vya Halmashauri ya Jiji vilivyopo eneo la Mwananyama katika Manispaa ya Kinondoni, jirani na Hospitali ya Mwananyamala kuona kazi zinazofanywa na wajasiriamali hao ambao ni wanawake, vijana na watu wenye ulemavu.

Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam pia inapenda kuwajulisha wananchi kwamba Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam tarehe 19 Juni, mwaka huu kuanzia saa 03:00 asubuhi atakuwa katika Kituo Kikuu cha Mabasi Ubungo kuwajulisha wananchi kuhusu maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha Kimataifa cha Mabasi katika eneo la Mbezi Luis ambako huduma za usafiri wa ndani na nje ya nchi zitahamishiwa kutoka Kituo cha sasa cha Ubungo.

Tafadhali usikiapo taarifa hii mjulishe na mwingine na shiriki bila kukosa.


Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Jiji kwa ajili ya kujadili taarifa za robo ya kwanza ya mwaka 2019/2020 November 05, 2019
  • Mapokezi ya Fedha kwa ajili ya Matumizi Mengineyo, Miradi ya Maendeleo kutoka Serikali Kuu mwezi Oktoba, 2019 November 01, 2019
  • Mkutano wa Baraza la Madiwani wa kujadili taarifa za ufungaji wa Hesabu za Halmashauri ya Jiji kwa mwaka wa fedha 2018/2019 September 24, 2019
  • Mapokezi ya Fedha kwa ajili ya Matumizi Mengineyo, Miradi ya Maendeleo kutoka Serikali Kuu mwezi Agosti, 2019 September 03, 2019
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Halmashauri ya Jiji yatoa mafunzo ya ujasiriamali kwa vikundi 117 vya wanawake, vijana, watu wenye ulemavu

    November 21, 2019
  • Jiji lazindua Mwongozo wa Utunzaji Uoto wa Asili

    October 31, 2019
  • Msalala kinara ukusanyaji mapato ya ndani

    October 21, 2019
  • RC Makonda: Matumizi ya TEHAMA Mwarobaini wa utatatuzi malalamiko ya wananchi Dar

    October 09, 2019
  • Angalia zote

Video

Ujenzi wa Kituo cha Kimataifa cha Mabasi katika eneo la Mbezi Luis
Video Zingine

Viunganishi vya Haraka

  • Mameya wa zamani wa Jiji
  • Vibali vya kuingia na Pikipiki katikati ya Jiji
  • Udhibiti wa Taka ngumu Jijini
  • Eneo Maalum la Usafi Jijini
  • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
  • Uwanda wa Bahari, Fukwe na Visiwa
  • Sehemu za Kitamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
  • Majengo na Maeneo ya Kihistoria
  • Maeneo ya Kupumzika, Bustani na Viwanja vya Michezo

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Wananchi

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Anuani ya Posta: S.L.P 9084

    Simu ya mezani: +255 22 2123551

    Namba ya Mkononi: 0715046974

    Barua Pepe: cd@dcc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.