• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Jiji
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha, Utawala na Utumishi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Udhibiti Taka
      • Mipangomiji, Mazingira na Usafirishaji
      • Afya na Huduma za Tiba
    • Vitengo
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Sheria na Usalama
      • Itifaki, Uhusiano na Umma
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Shughuli za Utalii
      • Dar es Salaam Yetu
      • Misitu na Mashamba ya wanyama wafugwao
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
      • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
      • Maeneo ya kupumzika, bustani na viwanja vya michezo
      • Maeneo ya Manunuzi
      • Majengo na maeneo ya kihistoria
      • Uwanda wa bahari, fukwe na visiwa
    • Urejelezaji wa Taka Ngumu
  • Huduma Zetu
    • Vibali vya Pikipiki
    • Vibali vya Maegesho ya Teksi
    • Maegesho ya Magari
    • Vituo Vikuu vya Mabasi
    • Udhibiti Taka Ngumu
    • Taarifa za Historia ya Viwanja
    • Mazishi ya miili ya marehemu wasiokuwa na ndugu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipangomiji, Mazingira na Miundombinu
      • Kamati ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
    • Mameya Wazamani wa Jiji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi Inayoendelea
    • Vitega Uchumi vya Jiji
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Sera
    • Miongozo
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu za Maombi
    • Fomu za Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari Mpya
    • Matukio

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan azindua ukuta wa bahari jijini Dar es Salaam

Tarehe iliyowekwa: June 5th, 2018

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amezindua ukuta wa bahari wa mita 820 wenye lengo la kuhimili athari za mabadiliko ya tabia nchi pamoja na kuboresha maeneo ya fukwe kwa kuzuia mmomonyoko wa udongo  katika kingo za bahari ya Hindi maeneo ya barabara ya Barack Obama (Ocean Road).

Uzindizi huo umefanyika katika kilele cha maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani yaliyofanyika Kitaifa katika viwanja vya Mnazi Mmoja, Jijini Dar es Salaam ambapo mgeni rasmi alikua Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.

Katika hotuba yake Mhe. Samia Suluhu amewataka wananchi wa Jiji la Dar es Salaam kutunza miundombinu na mazingira ya eneo la ukuta ili kuwa nadhifu kwa ajili ya kupumzikia na kukuza utalii jijini.

Kaulimbiu ya kitaifa inayoongoza maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani kwa mwaka 2018 ni “Mkaa Gharama; Tumia Nishati Mbadala”. Kaulimbiu hii inahimiza jamii kupunguza matumizi makubwa ya nishati ya mkaa ambayo yamesababisha kiasi kikubwa cha misitu yetu kuteketezwa.

Mama Samia Suluhu amehitimisha hotuba yake kwa kuwataka Watanzania kuelewa athari za ukataji wa miti kiholela na kuhakikisha wanakuwa walinzi wa kwanza wa mazingira.

Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Jiji kwa ajili ya kujadili taarifa za robo ya kwanza ya mwaka 2018/2019 January 10, 2019
  • Matokeo ya Usaili wa Vitendo kwa Waombaji wa Kazi ya Udereva January 02, 2019
  • Matokeo ya Usaili wa Maandishi kwa Waombaji wa Kazi ya Katibu Mahsusi December 29, 2018
  • Matokeo ya Usaili wa Maandishi kwa Waombaji wa Kazi ya Udereva December 29, 2018
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Madiwani Jiji watembelea eneo la mradi wa ujenzi wa dampo la Kigamboni

    February 11, 2019
  • Naibu Waziri Aziagiza Taasisi za Umma Kuzingatia Viwango na Miongozo ya Usalama wa Mifumo ya TEHAMA

    February 02, 2019
  • Jiji Dar kuongozwa na Manaibu Meya wawili kwa awamu

    December 07, 2018
  • Waziri Lukuvi afunga Ofisi za Ardhi Jiji la Dar es Salaam

    November 29, 2018
  • Angalia zote

Video

Mstahiki Meya Mwita akihamasisha wananchi katika Siku ya Usafi Duniani
Video Zingine

Viunganishi vya Haraka

  • Mameya wa zamani wa Jiji
  • Vibali vya kuingia na Pikipiki katikati ya Jiji
  • Udhibiti wa Taka ngumu Jijini
  • Eneo Maalum la Usafi Jijini
  • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
  • Uwanda wa Bahari, Fukwe na Visiwa
  • Sehemu za Kitamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
  • Majengo na Maeneo ya Kihistoria
  • Maeneo ya Kupumzika, Bustani na Viwanja vya Michezo

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Wananchi

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Anuani ya Posta: S.L.P 9084

    Simu ya mezani: +255 22 2123551

    Namba ya Mkononi: 0715046974

    Barua Pepe: cd@dcc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.