• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Jiji
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha, Utawala na Utumishi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Udhibiti Taka
      • Mipangomiji, Mazingira na Usafirishaji
      • Afya na Huduma za Tiba
    • Vitengo
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Sheria na Usalama
      • Itifaki, Uhusiano na Umma
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Shughuli za Utalii
      • Dar es Salaam Yetu
      • Misitu na Mashamba ya wanyama wafugwao
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
      • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
      • Maeneo ya kupumzika, bustani na viwanja vya michezo
      • Maeneo ya Manunuzi
      • Majengo na maeneo ya kihistoria
      • Uwanda wa bahari, fukwe na visiwa
    • Urejelezaji wa Taka Ngumu
  • Huduma Zetu
    • Vibali vya Pikipiki
    • Vibali vya Maegesho ya Teksi
    • Vibali vya Kuingiza Magari ya Mizigo
    • Vituo Vikuu vya Mabasi
    • Udhibiti Taka Ngumu
    • Taarifa za Historia ya Viwanja
    • Mazishi ya miili ya marehemu wasiokuwa na ndugu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipangomiji, Mazingira na Miundombinu
      • Kamati ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
    • Mameya Wazamani wa Jiji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi Inayoendelea
    • Vitega Uchumi vya Jiji
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Sera
    • Miongozo
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu za Maombi
    • Fomu za Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari Mpya
    • Matukio

Mkurugenzi Jiji la DSM awaasa Wakuu wa Shule kusimamia ujenzi wa vyumba vya madarasa 255 kwa uadilifu

Tarehe iliyowekwa: October 27th, 2021

Na: Hashim Jumbe

TAREHE 10 Oktoba, 2021 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan alizindua kampeni ya Maendeleo kwa ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya UVIKO-19, ambapo katika uzinduzi huo uliofanyika Mkoani Dodoma Mhe. Rais alizitaka Taasisi zitakazonufaika na fedha za mkopo wa Shilingi Trilioni 1.3 kutoka IMF kuhakikisha zinatumika katika malengo yaliyokusudiwa.

Aidha, fedha hizo zilizogawiwa kwa Halmashauri zote nchini zitatumika kutekeleza miradi ya maendeleo na kuboresha huduma za jamii kwenye sekta za afya, elimu, maji na utalii, hivyo Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imenufaika kwa kupata fedha kiasi cha Shilingi Bilioni 5.1 zitakazotumika kujenga vyumba vya madarasa 255 ya sekondari.

Katika kuhakikisha Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam inatekeleza mpango huo kwa wakati na kwa viwango vilivyowekwa,  Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Ndugu Jumanne Shauri, leo tarehe 27 Oktoba, 2021 alikutana na Wakuu wa Shule za Sekondari pamoja na Waratibu wa Elimu Kata ili kuweza kutengeneza mpango wa pamoja kufanikisha ujenzi wa vyumba hivyo vya madarasa unakamilika kabla ya tarehe 15 Disemba, 2021.

Akiongea katika kikao kazi hicho kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Karimjee,  Ndugu Jumanne Shauri aliwaasa Wakuu hao wa Shule za Sekondari kusimamia kwa uadilifu ujenzi wa vyumba hivyo vya madarasa ya sekondari vinavyojengwa kwenye shule 40 za Jiji la Dar es Salaam.

"Kuna vitu vya kuwekana sawa, naomba kwanza Afisa Elimu Sekondari atengeneze mpango kazi wa pamoja kuanzia leo tarehe 27 Oktoba, 2021, lakini pia Wakuu wa Shule niwaombe mtafute mafundi waliowazuri na 'Suppliers' wasio wababaishaji"

Ndugu Shauri aliendelea kusema "Hakikisheni kwenye eneo la plasta, tafuteni watu ambao ni wazuri, watapiga plasta na rangi vizuri, maana mnaweza kujenga jengo zuri sana alafu kwenye umaliziaji pasionekane vizuri, tafuteni mafundi ambao ni wazuri, tunataka madarasa ya Jiji la DSM yawe mfano kwa wengine waje kujifunza"

Pamoja na maelekezo hayo, Mkurugenzi Shauri aliwaasa Wakuu hao wa Shule kusimamia ujenzi wa madarasa hayo kwa uadilifu mkubwa na kuhakikisha hawamuangushi Rais Samia.

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • Angalia zote

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
Video Zingine

Viunganishi vya Haraka

  • Mameya wa zamani wa Jiji
  • Vibali vya kuingia na Pikipiki katikati ya Jiji
  • Udhibiti wa Taka ngumu Jijini
  • Eneo Maalum la Usafi Jijini
  • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
  • Uwanda wa Bahari, Fukwe na Visiwa
  • Sehemu za Kitamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
  • Majengo na Maeneo ya Kihistoria
  • Maeneo ya Kupumzika, Bustani na Viwanja vya Michezo

Viunganishi Linganifu

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • TAMISEMI
  • IDARA YA HABARI MAELEZO

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Anuani ya Posta: S.L.P 20950

    Simu ya mezani: 0738 378 386

    Namba ya Mkononi: 0738 378 386

    Barua Pepe: info@dcc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.