Ili kunufaika na fursa za mikopo inayotolewa kwa vikundi vya kina mama, vijana na watu wenye ulemavu unapaswa kutuma maombi ya kupatiwa mkopo kwa kikundi chako kwenda kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kwa anuani ifuatayo:
Mkurugenzi wa Jiji
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam
S.L.P 9084
DAR ES SALAAM
cd@dcc.go.tz
Bonyeza hapa kusoma masharti ya mkopo kwa wanawake, vijana na watu wenye ulemavu.
1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM
Anuani ya Posta: S.L.P 20950
Simu ya mezani: 2128800
Namba ya Mkononi: 0713614364
Barua Pepe: info@dcc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.