Monday 25th, January 2021
@Ukumbi wa Mlimani City
Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kwa Mkoa wa Dar es Salaam yatafanyika katika Ukumbi wa Mlimani City tarehe 8 Machi, 2018. Maadhimisho haya yataambatana na maonesho ya bidhaa mbalimbali za Wanawake Wajasiriamali wa Kitanzania yatakayoanza kuanzia tarehe 6 hadi 8 Machi, 2018.
Kauli Mbiu ya Siku ya Wanawake Duniani kwa mwaka 2018:
1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM
Anuani ya Posta: S.L.P 9084
Simu ya mezani: +255 22 2123346
Namba ya Mkononi: 0715046974
Barua Pepe: cd@dcc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.